OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Huyu ni mchezaji hatari wa Club ya Simba
Hongera mdogo wangu Okwi kwa kufikisha miaka 26
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa naanza kuelewa...kweli, jamaa ni Mganda.Huyu jamaa either umri wake umeganda ama unapungua!
Unarudi nyuma asee kutokea 30 na kitu iviHuyu jamaa either umri wake umeganda ama unapungua!
Shauri ya mazoezimbn sura ngumu[emoji15]
Mie mwenyewe nimeushangaa, nimebaki nime[emoji15] [emoji15] [emoji15]Yan mpaka leo ana miaka 26??
Hivi Kwanini Wachezaji wa Mpira Huwa wanaonekana wazee ukilinganisha Na Umri wao? Huku kitaa kuna jamaa kibao Wana umri mkubwa tu lkn wanaonekana wadogo kuliko wachezajiView attachment 658955
Huyu ni mchezaji hatari wa Club ya Simba
Hongera mdogo wangu Okwi kwa kufikisha miaka 26
Imekuletea madhara yeyote?Mie mwenyewe nimeushangaa, nimebaki nime[emoji15] [emoji15] [emoji15]