magana de gunners
Member
- Dec 14, 2019
- 47
- 102
Hakuna tatizo mkuuHivi huyu Okwi miaka yake inarudi nyuma au? Kila miaka ikisonga yeye ana miaka hiyo hiyo 27. Tatizo nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna tatizo mkuuHivi huyu Okwi miaka yake inarudi nyuma au? Kila miaka ikisonga yeye ana miaka hiyo hiyo 27. Tatizo nn?
41 YRS HUYU.Fundi kabisa @EmmanuelOkwi ametimiza miaka 27. Jiungeni nami tumpongeze Msakataka kabumbu huyu. View attachment 1303098
27[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44].....
huyu mwamba alikuja simba akiwa na 20 hv miaka ya 2007-8 hv..........
leo labda ana 35 au 37 hv
Sent using Jamii Forums mobile app
alikula superglue enzi zake za utotoni kitaalamu umri unaganda nga nga ngaHivi huyu Okwi miaka yake inarudi nyuma au? Kila miaka ikisonga yeye ana miaka hiyo hiyo 27. Tatizo nn?
Kwa ripoti nilizonazo ni kuwa umri wa huyu mshkaji huwa unarudi nyuma
kipind hicho mm nilikua 13 lakin sasa 26 da kweli kuna meng dunia hiii27[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44].....
huyu mwamba alikuja simba akiwa na 20 hv miaka ya 2007-8 hv..........
leo labda ana 35 au 37 hv
Sent using Jamii Forums mobile app
simba hatukuhitaji kujua miaka yake tulihitaji kuvuna na kukitumia kipaji chake!! haruna niyonzima alipokuja simba mlisema mzee kama msemavyo kwa okwi leo hii karudi kwenu majirani mnamuona kijana fundi wa mpira.... hongera mwamba OKWIII kwa kutimiza mika 27 mungu akuzidishie daima.
[emoji23][emoji23][emoji23]Okwi Kama wema sepetuMsimu ujao anarudi Simba akiwa na miaka 26!