happy birthday mwali Evelyn Salt, many happy returns...mimi kwa vile ni ankal wake Mwali, basi by default nakuwa ankal wako pia, which means a bigger cake!
tuanza na hii
happy birthday Evelyn Salt. mungu akuongezee miaka 100. ukimaliza kula keki ukalale nikikukuta hule mtaa wa mchikichini na kuchapa.
Happy b'day , nakutakia maisha marefu....... naona muda haufiki tukate keki hiyo...........
haya bebii gelo, nitakutumia pampers maana watoto wanaozaliwa siku hizi hawataki kuvalishwa visambi tena, wanapata alegi. wanataka pampers tuu
Shkamoo bib!!!!!!!
Hongera kwa kuingia uzeeni huku mgongo ukiwa wima nina zawadi yako nzuri ya jembe ninakuletea ukatie keki sawaaa kipenzi?
Happy birthday dear!