Happy birthday Evelyn Salt!

Happy birthday Evelyn Salt!

May today be filled with smiles, laughter and love!

Karibuni wote mje kula cake mida ya saa moja jioni.

Siku ya leo napenda kumjua twin angu ndani ya jf, nimlishe cake who is s/he?

images

Happy birthday to me!!!!

View attachment 101567
hongera uncle nikutakie furaha upendo na kibali siku zote za maisha yako.
MWENYEZI MUNGU akutegemeze uendelee kuwa kichwa na sio mkia na ubarikiwe uingiapo na utokapo.
 
Bado hujafika miaka 50?
Hongera kwa kumbukumbu ya kuzaliwa,
Mgao wa bandari unauhitaji?
 
hongera uncle nikutakie furaha upendo na kibali siku zote za maisha yako.
MWENYEZI MUNGU akutegemeze uendelee kuwa kichwa na sio mkia na ubarikiwe uingiapo na utokapo.
Amen Ankal ahsante sana
 
Damn so you are so young hahaah. Happy birthday mdau wa long time
Duuh? Yaani upo jamii forum tangu 2012 mpaka sasa ni 11 years, kwahiyo toa kwenye 28 years, inamanisha upo hapa tangu ukiwa na 17 (adolescent) are you serious?
Na kwenye post zako za awali ulisema ulikuwa kwenye ndoa Kwa miaka 5 kabla ya kuachika sasa uliingia ndoani ukiwa na 12-13? Kweli?
Anyway, happy birthday to you!!!!
 
Ulikuwa una ni quote mimi au evelyn?
 
Back
Top Bottom