Happy birthday Evelyn Salt!

Happy birthday Evelyn Salt!

Sorry, hii issue ni ya Evelyn, kwani wewe pia unasheherekea birthday ya 28?
Am 28 niliolewa miaka 12 iliyopita na first born wangu anatimiza 18 years mwezi wa kumi....
Ndio utajua kwanini ulikua haumsikilizi mwalimu wa hesabu wakati anafundisha hesabu za mafumbo🤣🤣
 
Am 28 niliolewa miaka 12 iliyopita na first born wangu anatimiza 18 years mwezi wa kumi....
Ndio utajua kwanini ulikua haumsikilizi mwalimu wa hesabu wakati anafundisha hesabu za mafumbo[emoji1787][emoji1787]
Mimi nakutakia happy birthday Tu?!!
"After all age ain't nothing but number."
 
Fundi gereji mwenzangu happy besdei, umepishana one day na mpenzi wangu flani ivi kwaiyo agiza soda hapo ntalipa
 
Hali ya maisha unaionaje kipindi hiki ulichofikisha miaka 36 yaani 40 kasoro 4
 
May today be filled with smiles, laughter and love!

Karibuni wote mje kula cake mida ya saa moja jioni.

Siku ya leo napenda kumjua twin angu ndani ya jf, nimlishe cake who is s/he?

images


Happy birthday to me!!!!

View attachment 101567
happy birthday kwako Evelyn Salt

Mwenyezi Mungu akujalie Miaka mingi zaidi ya Kheri na Mafanikio
 
Back
Top Bottom