Hizo mbwembwe tu za majina, ila Profesa ndo MfalmeHapa nazungumzia hiphop sio bongo fleva babu.
Msanii Eminem alijitangaza kwamba mistari yake anaitoa kwenye vitabu, na pia ameweka record ya kati ya wasanii wanaotumia muda mrefu katika kuandika mashairiHawa wanaosema Fid sio mkali eti ana copy kwenye vitabu mantiki yao ni ipi hasa? Hawajui maarifa yanapatikana kwenye vitabu? Walitaka acopy wapi sasa? Ni lazima usiwe mvivu wa kusoma ili uandike mistari kama ya fid.
Umeiona video ya Roho feat Christian Bella?Leo anazaliwa mfalme wa hiphop East & Central Africa... Heri ya siku ya kuzaliwa Ngosha.
Fid Q ameendelea kuwa inspiration kubwa kwa vijana na haswa community ya hiphop.. Ameendelea kuiweka hiphop kwenye ramani licha ya changamoto nyingi inazopitia.
Thanks God kwa kutuletea hii zawadi August 13.
Umeiona video ya Roho feat Christian Bella?
Hapana, ngojea niitazame now.
Mfalme ni Profesa Jay tu aliyemshawishi babaako akuruhusu uimbe
Kaimba wimbo gani, wasanii waliotengeneza mziki wao ndani ya arusha haufiki hata chalinze.Hashimu Dogo ndo mfalme wa hiphop wengine takataka...
Hiphop haifanywi kwenye media ..ndo maana wasanii kama Nash mc, chindo, Songa, One, Chaba na kadhalika huwezi sikia kazi zao kwenye media (hasa za kibongo) tofauti na akina fid q, joh makin darasa na kadhalika. Hashimu Dogo amefanya kazi nyingi sana ata fid q analiambua hilo.Kaimba wimbo gani, wasanii waliotengeneza mziki wao ndani ya arusha haufiki hata chalinze.