Happy Birthday Fid Q! Mfalme wa hiphop East & Central Africa

Happy Birthday Fid Q! Mfalme wa hiphop East & Central Africa

ma2mbo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
697
Reaction score
326
Leo anazaliwa mfalme wa hiphop East & Central Africa... Heri ya siku ya kuzaliwa Ngosha.

Fid Q ameendelea kuwa inspiration kubwa kwa vijana na haswa community ya hiphop.. Ameendelea kuiweka hiphop kwenye ramani licha ya changamoto nyingi inazopitia.

Thanks God kwa kutuletea hii zawadi August 13.
 
Oooh! brother nadhani umefurahi sana kuikumbuka hii siku japo kuna majukumu ambayo muda mwingine yanakufanye ujute, usife moyo na mimi nakuombea Heri katika siku yako ya kuzaliwa
 
Hawa wanaosema Fid sio mkali eti ana copy kwenye vitabu mantiki yao ni ipi hasa? Hawajui maarifa yanapatikana kwenye vitabu? Walitaka acopy wapi sasa? Ni lazima usiwe mvivu wa kusoma ili uandike mistari kama ya fid.
 
Msanii Eminem alijitangaza kwamba mistari yake anaitoa kwenye vitabu, na pia ameweka record ya kati ya wasanii wanaotumia muda mrefu katika kuandika mashairi
 
Mfalme tunaemjua ni Seleman Msindi mpaka leo..
Fid labda wa Mwanza
 
Leo anazaliwa mfalme wa hiphop East & Central Africa... Heri ya siku ya kuzaliwa Ngosha.

Fid Q ameendelea kuwa inspiration kubwa kwa vijana na haswa community ya hiphop.. Ameendelea kuiweka hiphop kwenye ramani licha ya changamoto nyingi inazopitia.

Thanks God kwa kutuletea hii zawadi August 13.
Umeiona video ya Roho feat Christian Bella?
 
Kaimba wimbo gani, wasanii waliotengeneza mziki wao ndani ya arusha haufiki hata chalinze.
Hiphop haifanywi kwenye media ..ndo maana wasanii kama Nash mc, chindo, Songa, One, Chaba na kadhalika huwezi sikia kazi zao kwenye media (hasa za kibongo) tofauti na akina fid q, joh makin darasa na kadhalika. Hashimu Dogo amefanya kazi nyingi sana ata fid q analiambua hilo.
 
Back
Top Bottom