Happy Birthday Fid Q! Mfalme wa hiphop East & Central Africa

Happy Birthday Fid Q! Mfalme wa hiphop East & Central Africa

Mnaosema fid anacopy tu kwenye vitabu,copy wewe tuone ya kwako kama hujaharisha tu,mumwambie hata artist mwingine wa bongo naye acopy halafu tuone uharo wake.

Mbona wabongo mnaroho ya kutu hivyo?
 
Kwa Tanzania HIPHOP ilizaliwa Arusha siku nyiiingi na kina Chindo Man, JCB, Spark (Watengwa kwa ujumla) kisha X-plasters Wakati wa akina KZB na Rap za Mr. II

Inashangaza sana mnayoyazungumza enyi vijana wadogo mliosikiliza HipHop za kuanzia miaka ya 2000's.
 
Hiphop haifanywi kwenye media ..ndo maana wasanii kama Nash mc, chindo, Songa, One, Chaba na kadhalika huwezi sikia kazi zao kwenye media (hasa za kibongo) tofauti na akina fid q, joh makin darasa na kadhalika. Hashimu Dogo amefanya kazi nyingi sana ata fid q analiambua hilo.
mkuu huyo msanii kafanya kazi gani hao runduno nawajua walikuja namatamasha kiingilio buku watu hawaend machizi wanaendelea kuonesha sapoti mtaani kuwa jamaa wanajua
 
Kwa Tanzania HIPHOP ilizaliwa Arusha siku nyiiingi na kina Chindo Man, JCB, Spark (Watengwa kwa ujumla) kisha X-plasters Wakati wa akina KZB na Rap za Mr. II

Inashangaza sana mnayoyazungumza enyi vijana wadogo mliosikiliza HipHop za kuanzia miaka ya 2000's.
Waeleze watambue. Hip hop is born and rise in Arusha
 
mkuu huyo msanii kafanya kazi gani hao runduno nawajua walikuja namatamasha kiingilio buku watu hawaend machizi wanaendelea kuonesha sapoti mtaani kuwa jamaa wanajua
Yap wanajua sana ..ndo maana kuna watu tuna/ wanawaelewa vizuri sana. Tatizo la bongo mziki upo kwenye media zaidd, media ndo zna haribu mziki hasa hiphop.
 
Back
Top Bottom