Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera Festi Ladi, siku yako kuzaliwa,
Ningekutumia kadi, anuani sijapewa,
Nitume ua la waridi, ati wakaa Kipawa?
Hongera kwa kuzaliwa, Mpendwa Festi Ladi,
Natetema kwa midadi, taarifa sikupewa,
Ningevaa maridadi, mlo nikaja donowa,
Ningepuliza matadi, nikuzawadi hata muwa,
Hongera kwa kuzaliwa, Mpendwa Festi Ladi,
![]()
Wasikupate mahasidi, kukubugudhi mtawa,
Nipe walau miadi, nipate lau kibawa,
Uishi miaka zaidi, hata karne ni sawa,
Hongera kwa kuzaliwa, Mpendwa Festi Ladi,
Happy Birthday FL1
Happy birthday dearest!..may you live to see your great,great grand children's children..MUNGU AKUBARIKI!
Happy beeethiddddd,
Haphhy beethhh,
Well, I can't sing. Let somebody help. Steve Wonder would you please help?
I dedicate to you the song Happy Birthday by Steve Wonder.
3D.
Ubarikiwe kwa kila jambo
Ufanikiwa katika yote
Ulindwe na kutunzwa
Upewe yote ya kheri
Na uepushwe na shari
Uone siku nyingi zaidi!!!
Heri ya kuzaliwa FL1!!!
hongera mama wa kwanza. nakuombea wasikusumbue kwenye upokeaji wako wa pensheni. amen
Ubarikiwe kwa kila jambo
Ufanikiwa katika yote
Ulindwe na kutunzwa
Upewe yote ya kheri
Na uepushwe na shari
Uone siku nyingi zaidi!!!
Heri ya kuzaliwa FL1!!!
🙂:bathbaby::A S-heart-2: asante DesidiiHappy Birthday my Dear!!!
:A S kiss::A S kiss:yeahhhhhhhh.............ndo natoka kwa birthday party sasa.................nimezaliwa siku ya leo jamani...........WANDAFUL, RONADINHO, XABI HARNENDEZ AND ALICIA KEYS, THEY HAV BORN THIS DAY......................CHEERS!!!!!!!!!!!!1:A S kiss::A S kiss:
Happy Birthday sweetness.....
May God bless u a life full of happiness all through....
xoxo