Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
hapa namaliza kaziLet me try
asante mwanakijiji
Pokea zangu pongeze
Kwa ushairi murua ,ulojaa vina bora
Kwa imani yangu thabiti
Mola ameyasikia maombi yako juu yangu
Na mimi nina imani yote nitafanikiwa
have great one
Cheers:A S kiss:
nafuta kabaisa ubishi
nimeipenda cheers
nimeizimia kichizi
cheers na zuri kiss
fl1 pokea kiss
kiss zuri kama cheers
kiss zuri kama maharege ya naz
nitarud baadae wajameni....