Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
asant mama la mamaHappy birthday to Geniveros
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mi nkajua mpk leoo...!!
kumbe we ni team michael jordan...ile wakifungwa unaumwaa[emoji2] [emoji2] [emoji2]
kina curry hawajui...?[emoji2] [emoji2] [emoji15]Nilikuwa nakosa raha sana aisee, lakini wakati ule mchezo ulikuwa bomba sana maana hata timu mbofu mbofu (isomeke mbovu) siku zinacheza na Michael Jordan and Da Bulls walikuwa wanaoania sana kushinda kwa kujua fika jamaa kwa jinsi alivyokuwa mshindani alikuwa hapendi kufungwa na timu yoyote ile. Siku hizi ni midabwada tu mvuto si kivile tena.
Ewaaaaando alikotoka binti shunie
Tanga raha BAK
kina curry hawajui...?[emoji2] [emoji2] [emoji15]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] daahh...hongera!Hahahahahahahaha nawajua hao lakini kwangu mimi hawana mvuto kiasi kile lol! Wapi invitation card yangu?
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ewaaaaa
team kuchwa kwenye mataa[emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji4][emoji4]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] daahh...hongera!
ahsante my rubiii
uchoyo tena wa nini?!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji85] [emoji85] [emoji85] hapahapaWapi invitation card yangu G?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji85] [emoji85] [emoji85] hapahapa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mwenye keki katukimbiaaKaribu! mbona hujaniita mambo ya biere na keki
[emoji2] [emoji2] [emoji2] tunapambana na hali zetuOk hakuna neno lol!
Utapendaje kuondoka kwa raha zile kakaNi kweli aisee, huwa najisikia raha sana nikiwa Tanga hata kuondoka huwa sipendi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2] [emoji2] [emoji2]