Happy Birthday Geniveros

Happy Birthday Geniveros

Nilikuwa nakosa raha sana aisee, lakini wakati ule mchezo ulikuwa bomba sana maana hata timu mbofu mbofu (isomeke mbovu) siku zinacheza na Michael Jordan and Da Bulls walikuwa wanaoania sana kushinda kwa kujua fika jamaa kwa jinsi alivyokuwa mshindani alikuwa hapendi kufungwa na timu yoyote ile. Siku hizi ni midabwada tu mvuto si kivile tena.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] mi nkajua mpk leoo...!!
kumbe we ni team michael jordan...ile wakifungwa unaumwaa[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nilikuwa nakosa raha sana aisee, lakini wakati ule mchezo ulikuwa bomba sana maana hata timu mbofu mbofu (isomeke mbovu) siku zinacheza na Michael Jordan and Da Bulls walikuwa wanaoania sana kushinda kwa kujua fika jamaa kwa jinsi alivyokuwa mshindani alikuwa hapendi kufungwa na timu yoyote ile. Siku hizi ni midabwada tu mvuto si kivile tena.
kina curry hawajui...?[emoji2] [emoji2] [emoji15]
 
Back
Top Bottom