Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
till death do us apart!!!Best Friend milele
Mungu akitubariki tukawa...utukufu ni wakeHa ha ha kwan wewe huak iwe kwel?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kibiti ndo kizuriiiMtoa location ni yeye mwenyewe nahis atasema Kibit jinsi alivyo mchoyo
asante my emmyy!!!Mungu akupe hitaji la moyo wakoHahaaa. Ila pia sio mbaya my dada.
Uwe na maisha marefu yenye wingi wa kila la kheri. [emoji2]
Maweeee..eheee...hebu na mimi nielekezeni hilo jukwaa.nimekuwa nikilisikia tu.aibu yangu mimi jmniHa ha ha a mtoto anajua mpaka Jukwaa la wakubwa unasema mtoto huyu?
Mimi je nina ka dictionary kangu kametoka toka baadhi ya page ndio imebidi nikatumie ili kujua nini anamaanisha mana si unajua tena lugha za watu hizi.[emoji2] [emoji2] [emoji2] sio cha nchi hii kiinglish mi mpaka nimetafuta Oxford old version...!!!
thank you dear miss...Happy birthday Dear...nakukubali kinoma noma...uishi miaka 100!
[emoji120] [emoji120] [emoji120]asante my emmyy!!!Mungu akupe hitaji la moyo wako
[emoji2] [emoji2] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji2] umeanza lini majunguUnataka kufungua duka la cake nn?
ndiyo ziwe nyingi full burdaann!!Maana naona kila mtu anwekewa oda ya cake