Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Yaan mishkaki tu tena nitakunywa na maji asije akaona tutamtia hasaramishikaki tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan mishkaki tu tena nitakunywa na maji asije akaona tutamtia hasaramishikaki tafadhali
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sisi sio wa mchezomchezooo....Heee kumbe kuna kwa juzi tenaa
una nini bonyy..!!??
kweli kabisaa...Kwani uongo ndugu [emoji3][emoji3]
flat screen tena singsung!!!Ha ha ha ha wewe kwel unayo sibishi
mzee wa kuachia watu manyoyaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mirinda nyeusi sijaiona
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mashart nafuu[emoji134] [emoji134] basi nundu ninayo tena imejazia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sisi sio wa mchezomchezooo....
Woiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]flat screen tena singsung!!!
Muulize juzi aliniahidi nini akikujibu niite mana nimesubili weeeh kimyamzee wa kuachia watu manyoyaa...
Kaka bonny juzi uliniahidi nini jaman we mkristo ujueMnataka assist enhee
Babu anaejikongoja ni wa nini?Wewe hutaki vya motomoto???wee...usintafutie balaa na babu wanguu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
umeona eehh!hata mmoja mmoja[emoji1]Atupeleke tukale mishkaki