Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitufanyie hivyo ujue tumezoea kukutania jamanNmeghair
[emoji134] [emoji134] tunakutania tuNshaghair mnitukane na mishkak yangu muitake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niwakute hapo hapo kwa juzi
Akipenda boga apende na uwa lakemuulize vzr kabisa japo kasema hatakia mashosti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwambien aliewapelka juz na Leo tena
[emoji23] [emoji23] [emoji109] [emoji23] eeehh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo ndio habari ya mjini jikune unapoweza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niacheMungu anakuona aisee ungekua nalo JF isingebak salama
We apo kaka bonny tumetoka mbali ujue usiwe unaniuza basiUsinletee telemundo hapa umetoka wap na Nan kwendraaaaa
[emoji15] [emoji15] nani anavaa deraHaya mjiandae ila msje na Madera yenu muyaache huko huko
ulimuahidi nini kabinti ka watu?!!bonyyyMuulize juzi aliniahidi nini akikujibu niite mana nimesubili weeeh kimya
Umeona mazereu yake
Mdomo huumba kaka bonny achana na hivyo vituSiku hzi nmekua freemason
[emoji134] [emoji134] ni mishkaki tu sio sisiHa ha ha check mnavyotia huruma
[emoji85] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji109] [emoji23] eeehh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mtu mzima anaumbuka hapaKaka bonny juzi uliniahidi nini jaman we mkristo ujue
Uwa geni mie boga atupende tu na sie hakuna namnaKwahyo hapo wewe ua au boga