Happy Birthday Geniveros

Happy Birthday Geniveros

Hahahahahahaha lol! siku hizi umebaki ushabiki tu wa kupenda mchezo ila enzi za Michael Jordan hasa kwenye playoffs nilikuwa nakuwa nervous hadi sitaki kuangalia lol! kwa kuhofia Da Bulls watafungwa. Siku hizi walaaa.

ahsante kaka wa basketball...

Kobe wa kibongo...maana wapenda basket kuliko kula....
 
Hahahahahahaha lol! siku hizi umebaki ushabiki tu wa kupenda mchezo ila enzi za Michael Jordan hasa kwenye playoffs nilikuwa nakuwa nervous hadi sitaki kuangalia lol! kwa kuhofia Da Bulls watafungwa. Siku hizi walaaa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mi nkajua mpk leoo...!!
kumbe we ni team michael jordan...ile wakifungwa unaumwaa[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom