GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
karibu tena rafiki yangu , maji ya mende wapi nije kunywa sikumwagii
okey that good kifo cha mende kitaleta matunda mazuri kitu kinaenda moja kwa mojaNimeamua tu kuisheherekea Birthday yangu leo kwa kutiririka sana humu JF na ningojee tu Shemela wako akirejea kutoka mzigoni tupambe na tusheherekee nae Kibaiolojia zaidi ikibidi leo safari yake ya kubeba GENTAMYCINE jr tumboni mwake ianze rasmi.
Mkuu happy birthday japo ungetisha zaidi kwa kurushia na tupicha tuone umekata keki na kina nani[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
okey that good kifo cha mende kitaleta matunda mazuri kitu kinaenda moja kwa moja
hapana kaka sina nia hiyo natamani kuitwa anti mapema sasa ukianza na chuma mboga hapo ngumu sana kunasaHa ha ha ha ha ha ha ........ Dada yangu Wewe huna adabu kweli! au unamuonea Wivu Wifi yako kuwa leo atapata burudani mubashara na pengine labda unataka kumpindua Kiaina?
hapana kaka sina nia hiyo natamani kuitwa anti mapema sasa ukianza na chuma mboga hapo ngumu sana kunasa
Ofisini kwangu sio mbali na protea ntajongea kama harmorapaKeki yangu nitaikatia pale Viwanjani Protea Courtyard Saa 8 hivyo hakikisheni nyote mnakuja na Bastola zenu tafadhali.
Ofisini kwangu sio mbali na protea ntajongea kama harmorapa
usijali kaka kesho nitakuuliza ujueHa ha ha ha ha ha ha ha .......... duh! Dada kweli leo umeniamkia na nitakukoma Wallahi!
Wote tuko ukanda mmoja ofisi za efm mpaka protea ukidrive Bila foleni 10 minutes so kitenge tutamtonya noma likianzaHa ha ha ha ha ha ha ...... Mkuu nakuomba usisahau pia kuongozana na Maulid Baraka Kitenge ili mnipe ushirikiano wenu wa kutukuka.
Hii ni fursa kwa wale wanaomtafuta huyu jamaa kwa sababu ya kupenda kuwazingua watu hapa jf, sasa angalieni ni mwanahabari gani maarufu ambaye siku ya leo ni birthday yake halafu mtujulishe huyu jamaa ni nani.
Cc: Nifah
Wote tuko ukanda mmoja ofisi za efm mpaka protea ukidrive Bila foleni 10 minutes so kitenge tutamtonya noma likianza