Happy Birthday GENTAMYCINE


Hapo kwenye kusema au kuahidi kuwa nitaacha ' kujisikia ' sikumbuki kama nilisema hata hivyo kwakuwa unaoenekana hilo linakukera naomba tu nami niyanukuu maneno ya Mheshimiwa Rais wetu JPM kwa kusema kuwa " GENTAMYCINE sipendi kushinikizwa kufanya jambo humu kwanza isitoshe hakuna kati yenu aliyenisaidia Mimi GENTAMYCINE kujisajili na kuwa Member wa Kutukuka humu JF miaka mitatu iliyopita ". Huko ' Kujisikia ' Kwangu ningeacha ila kwakuwa umekuwa na ' Kiherehere ' sasa nasitisha huo mpango na sasa ndiyo nitakuwa najisikia hadi Mnune kutoka Tegeta hadi Mbagala.
 
Ujumbe umefika chief wakuelewa ataelewa!
 
Sawa Mkuu, nilikuwa nakukumbusha tu ahadi yako siyo lazima uitimize.

Ifurahie siku yako na Mungu akubariki.
 
Haaaaaaahaaaaaa bora angekaa kmya tu kuongea ndio kaharibu kabsaaaa kwa nnavyokufaham huwa hushinikizwi chapa kazi!
 
Haaaaaaahaaaaaa bora angekaa kmya tu kuongea ndio kaharibu kabsaaaa kwa nnavyokufaham huwa hushinikizwi chapa kazi!

Kweli Mkuu na sasa ndiyo nitakuwa najisikia hadi wanaonichukia wapasuke msamba.
 
Pongezi kwako mkuu kwa kuzaliwa usisahau leo kutupa nyuzi moja ya Bashite kama zawadi kwa wanaJF

Hope mapambano ya kumtoa Bashite yataimarika kamanda
 
Hongera sana bosi. Nafurahi ndugu unavozidi kuwepo ili uzidi kutufurahisha kutuelimisha na pia kukinzana kwa hoja
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wa kule kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…