Happy Birthday GENTAMYCINE

Happy Birthday GENTAMYCINE

Happy Birthday Mkuu, Mungu akujalie maisha marefu na mazuri mbeleni.

Hata hivyo nasubiri ahadi yako uliyotoa siku ya Kuzaliwa ya Nifah kuwa utaacha upashkuna, kujidai, kujisikia na utakuwa GENTAMYCINE mpya kabisa mwenye kuleta nyuzi na comments zenye kujenga na kuburudisha.

Hapo kwenye kusema au kuahidi kuwa nitaacha ' kujisikia ' sikumbuki kama nilisema hata hivyo kwakuwa unaoenekana hilo linakukera naomba tu nami niyanukuu maneno ya Mheshimiwa Rais wetu JPM kwa kusema kuwa " GENTAMYCINE sipendi kushinikizwa kufanya jambo humu kwanza isitoshe hakuna kati yenu aliyenisaidia Mimi GENTAMYCINE kujisajili na kuwa Member wa Kutukuka humu JF miaka mitatu iliyopita ". Huko ' Kujisikia ' Kwangu ningeacha ila kwakuwa umekuwa na ' Kiherehere ' sasa nasitisha huo mpango na sasa ndiyo nitakuwa najisikia hadi Mnune kutoka Tegeta hadi Mbagala.
 
Mnaonaje haya ya Wewe na mwenzio huyo mkayachangie kule katika Uzi maalum niliouanzisha wa Watangazaji wa Radio One Abdallah Mwaipaya na Farhia Middle na katika uzi huu muache mantiki yake nzima ibaki? Mnapokuja na hoja za mada nyingine katika Mada ya Birthday yangu mnataka niwaeleweje? Acheni Uswahili tafadhali na tuheshimiane tafadhali. Mwambie na mwenzio pia huu ujumbe. Shukran!
Ujumbe umefika chief wakuelewa ataelewa!
 
Hapo kwenye kusema au kuahidi kuwa nitaacha ' kujisikia ' sikumbuki kama nilisema hata hivyo kwakuwa unaoenekana hilo linakukera naomba tu nami niyanukuu maneno ya Mheshimiwa Rais wetu JPM kwa kusema kuwa " GENTAMYCINE sipendi kushinikizwa kufanya jambo humu kwanza isitoshe hakuna kati yenu aliyenisaidia Mimi GENTAMYCINE kujisajili na kuwa Member wa Kutukuka humu JF miaka mitatu iliyopita ". Huko ' Kujisikia ' Kwangu ningeacha ila kwakuwa umekuwa na ' Kiherehere ' sasa nasitisha huo mpango na sasa ndiyo nitakuwa najisikia hadi Mnune kutoka Tegeta hadi Mbagala.
Sawa Mkuu, nilikuwa nakukumbusha tu ahadi yako siyo lazima uitimize.

Ifurahie siku yako na Mungu akubariki.
 
Hapo kwenye kusema au kuahidi kuwa nitaacha ' kujisikia ' sikumbuki kama nilisema hata hivyo kwakuwa unaoenekana hilo linakukera naomba tu nami niyanukuu maneno ya Mheshimiwa Rais wetu JPM kwa kusema kuwa " GENTAMYCINE sipendi kushinikizwa kufanya jambo humu kwanza isitoshe hakuna kati yenu aliyenisaidia Mimi GENTAMYCINE kujisajili na kuwa Member wa Kutukuka humu JF miaka mitatu iliyopita ". Huko ' Kujisikia ' Kwangu ningeacha ila kwakuwa umekuwa na ' Kiherehere ' sasa nasitisha huo mpango na sasa ndiyo nitakuwa najisikia hadi Mnune kutoka Tegeta hadi Mbagala.
Haaaaaaahaaaaaa bora angekaa kmya tu kuongea ndio kaharibu kabsaaaa kwa nnavyokufaham huwa hushinikizwi chapa kazi!
 
Kweli Mkuu na sasa ndiyo nitakuwa najisikia hadi wanaonichukia wapasuke msamba.
 
Pongezi kwako mkuu kwa kuzaliwa usisahau leo kutupa nyuzi moja ya Bashite kama zawadi kwa wanaJF

Hope mapambano ya kumtoa Bashite yataimarika kamanda
 
Hongera sana bosi. Nafurahi ndugu unavozidi kuwepo ili uzidi kutufurahisha kutuelimisha na pia kukinzana kwa hoja
 
Hapo kwenye kusema au kuahidi kuwa nitaacha ' kujisikia ' sikumbuki kama nilisema hata hivyo kwakuwa unaoenekana hilo linakukera naomba tu nami niyanukuu maneno ya Mheshimiwa Rais wetu JPM kwa kusema kuwa " GENTAMYCINE sipendi kushinikizwa kufanya jambo humu kwanza isitoshe hakuna kati yenu aliyenisaidia Mimi GENTAMYCINE kujisajili na kuwa Member wa Kutukuka humu JF miaka mitatu iliyopita ". Huko ' Kujisikia ' Kwangu ningeacha ila kwakuwa umekuwa na ' Kiherehere ' sasa nasitisha huo mpango na sasa ndiyo nitakuwa najisikia hadi Mnune kutoka Tegeta hadi Mbagala.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wa kule kule
 
Back
Top Bottom