Happy Birthday GENTAMYCINE

Happy birthday

Pokea zawadi kutoka sizonje.




Umesikia Ney ameachiwa???

Thanks Mkuu. Kuachiwa kwa Ney nimesikia ila nadhani ningefurahi na kuiamini zaidi hii Serikali kama muda wowote kuanzia sasa nitaona au kusikia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Christian Makonda ameondolewa madarakani na awapishe ambao wanastahili kushika huo Wadhifa.
 
Heri ya siku ya kuzaliwa Komredi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…