GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy birthday
Pokea zawadi kutoka sizonje.
Umesikia Ney ameachiwa???
Heri ya siku ya kuzaliwa Komredi.Nimefurahi mno kufikisha umri wangu huu leo hii na hakika nina furaha sana na kikubwa naomba tupendane na kwa pamoja tuliendeshe gurudumu hili la JF kwa manufaa zaidi ili tuweze kuijenga Tanzania yetu ili Watoto wetu na Wajukuu zetu waje kutukumbuka kwa mema na kuyafurahia matunda ya hii nchi nzuri na iliyobarikiwa mno na Mwenyezi Mungu.
Amen / Inshaallah.