Happy Birthday GENTAMYCINE

Happy Birthday GENTAMYCINE

Happy birthday babaa GENTAMYCINE ...
Hongera kwa umri ulionao&Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu na matamuuu
 
Dah...
''Gentamicin should not be used if a person has a history of hypersensitivity such as anaphylaxis shock or other serious toxic reaction to gentamicin or any other aminoglycosides''
..Happy BirthdaY cHIEf🙂
 
Since mama anakutunza miezi 9 tumbo ni,hujui aliumwa nini au alipitia kipindi kigumu kiaso gani when she let you be the human in the earth. After Hapo tena inakuka process ya kulea mtoo,kulea mimba si kazi kazi kulea mtoto. Hujui umeumwa na kutibiwa Mara ngapi? Ulikuwa unakula nini?unavaa nini na unalala wapi ni hesabu za mama. Umekua na kuanza kujielewa unaenda shule mpaka kufikia Hapo uliko,you can't count the cost per action. Mama ni mama
Na yule mama ambaye hakutimiza jukumu lake?
 
Nimefurahi mno kufikisha umri wangu huu leo hii na hakika nina furaha sana na kikubwa naomba tupendane na kwa pamoja tuliendeshe gurudumu hili la JF kwa manufaa zaidi ili tuweze kuijenga Tanzania yetu ili Watoto wetu na Wajukuu zetu waje kutukumbuka kwa mema na kuyafurahia matunda ya hii nchi nzuri na iliyobarikiwa mno na Mwenyezi Mungu.

Amen / Inshaallah.
Happy birthday

Pokea zawadi kutoka sizonje.




Umesikia Ney ameachiwa???
 
Back
Top Bottom