Sijui ulikuwa umejificha wapi...Heri ya siku yako ya kuzaliwa rafiki yangu kipenzi Hajar . Mungu azidi kukujaalia afya njema, hekima, busara, subira na malengo yako yawe yanatimia tu.....
[emoji512]Happy BirthDay[emoji512]
[emoji9][emoji9]...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeotea yaani
Dada ake nilikuwa sijakuona sehemu mhimu kama hiiAbeeeh habari yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]waoooooh mefurahi kukuona mdogo wangu kila nilivyomtuma mwifwa akufate kagoma kisa atamaliziwa keki
Ndio nimekuja kaka akee niambie cake tunakata wapiDada ake nilikuwa sijakuona sehemu mhimu kama hii
Nikaona sio mbaya nakakutag ujue leo kuna sherehe ya ndugu yako
Sawa jirani ila kuna mtu amasema anata kazi ya ulinzi tumpe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama ataweza kumdhibit mwifwa mpe haina shida
upogo hivi mwanakwetuHappy birthday mdada Mungu akutunze na kila aina ya mabaya
Keki atakuelekezaNdio nimekuja kaka akee niambie cake tunakata wapi
hahaha acha roho mbaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Davet subiri kidogo uje baadae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa jirani ila kuna usemi unasema
Mchawi mpe mwanao akulelee
Mwifwa ndio kaomba Nazi ya ulinzi watashirikiana na davet
haaha davet usimguse jirani hayuko vizurSawa jirani ila kuna usemi unasema
Mchawi mpe mwanao akulelee
Mwifwa ndio kaomba Nazi ya ulinzi watashirikiana na davet
hatiame tumerudiSijui ulikuwa umejificha wapi...
Naendelea kuangalia tu jinsi familiy ilivyo separate..
Nipo dada akee nahisi tunapishana tu jamaniupogo hivi mwanakwetu
Nipo nasubiri locationKeki atakuelekeza
Ukyuty
Kazi hiyo nimekupa shavu ya ujira[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ni kulekule kwa siku zote tu jamaniKeki atakuelekeza
Ukyuty
Aaaah anasumbuliwa na nini tenahaaha davet usimguse jirani hayuko vizur
khaaa hadi nikajua umetekwa ndugu adimu sanaNipo dada akee nahisi tunapishana tu jamani