Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Yah, Nipo poa sana Mungu anasaidia mkuu, sijui weweHahaaa. Sawa usijali.
Hahaaaa. Mie watanisamehe kwa kweli kuanza kunimwagia tope lol.
Mzima lakini?
BARIKIWA..ENJOOOOOOOOOOOYAhsante sana Kaka ake. Pamoja sana Mwana Yanga mwenzangu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nambie tu mkuu wala si Kwa ubaya jamani.Ahsante sana. Duuh.
Ndio kwanza nakaribia kuwa na siku moja Mkuu. [emoji12] [emoji12]
[emoji120] [emoji120]
Usihofu we njoo p.m kwa tiba zaidiHahahaa. Lol.
Haya Ahsante. Ila utafanya bichwa langu lipasuke. Lol
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Labda nataka kukuchumbia
Haya Assalam alekhum UstadhatHahaaa. Kama ni hayo ulishachelewa sasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ohooo, ngoja nije faster Hajar
Alhamdulilakh,khaifa!Wa aleykum Musalaam.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Daahh yaani leo sijakanyaga humu ndio nakuja nakutania na huu uziAhsante sana Binamu ila umeniangusha jamaani.
Mpaka siku inakaribia kwisha ndio unaonekana. Vibaya hivyo ujue.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kuniacha huwezi binamu mm na wewe damu damuDuuh! Pole sana Binamu.
Ndio nazidi kukuacha hivyo. Teh teh.
Kabisa wala sina shaka, lkn miaka ina kasi sanaHahahaaa. Hakika binamu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nisamehe buree Hajar, yaani harakati za maisha zinavyotupeleka speed mpaka tunapitiliza, haya mtoto yake nyonyo, nikutakie kunyonya kwemaHahahaaaa. Lol.
Ila una tabia mbaya Sesten. Eti ndio unaibuka. Mmh.
Sema nilikuwa nimejisahau nikatakaa kusema miaka inaenda mara hii umefikisha umri flani nikakumbuka hapa ni JFAcha tu Binamu yaani kila siku zinavyosonga inazidi kutupeleka uzeeni tu.
Nishakaribia swahiba [emoji120]Ahsante sana Swahiba. Hahaaa. Lol. Karibu sana Swahiba.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kabisa bora nimekumbuka mapemaHahahaaa. Hivyo Binamu ukataka kumwaga kuku kwenye mchele. Lol.