MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
saa nane jua kali subiri kwanzaNishatoka, naenda kujiandaa kula futari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
saa nane jua kali subiri kwanzaNishatoka, naenda kujiandaa kula futari.
Kuna mahali tapitia kwanza.saa nane jua kali subiri kwanza
Mie nawaangalia tu mjue!!!Hahaaa. Namjua huyu ni Shemeji yangu dada.
Hilo jibu ni la ule mstari wake wa mwisho Dada. Hahahaaaa.
kwan dada ukhty hayuko online?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa umeniacha kaka ujue. [emoji12] [emoji12]
ukienda ulale huko huko na mimi nitaangalia uwezekano wa kulala huku hukuKuna mahali tapitia kwanza.
ukienda huko ulale huko huko na mimi nitaangalia uwezekano wa kulala huku hukuKuna mahali tapitia kwanza.
Mtani ushakosa crate la soda.....Hahahaaaa. Langu jicho Mtani.
Siku ukiwa maeneo ya m'kumbo upate lunch/dinner ya nguvu....Huwezi amini nimejikuta nasikitika peke yangu Mtani.
Haikuwa rizki aiseee.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Amiin Insha Allah.
Ahsante mnoo kwa dua zako nawe pia Allah azidi kukujaalia kheri na baraka tele kila Uchwao Insha Allah.
Kweli usemalo Ibada ndio kila kitu na mie namshukuru Allah kwa hilo najitahidi kadri ya uwezo wangu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hapa nawaza fainali itakuwaje bila kina okwi bocco kwasi kotei gyan juuko.....Hahahaa lol.
Usijali ntakucheck Mtani. [emoji120] [emoji120]
Hongera zenu naona mnapepea tu. [emoji122] [emoji122]
Labda kwa ushindi wa matuta tofouti na hapo hakuna kitu mtani....Hahaaa. Lol.
Mtashinda tu kwa uwezo wa Mungu Mtani. [emoji23] [emoji23]
Sawa baba, asante sana.[emoji7] [emoji7]ukienda huko ulale huko huko na mimi nitaangalia uwezekano wa kulala huku huku
Na iwe hivyo hao goodison park....Hahaaa. Lol.
Tusubiri tuone huenda ikawa mwaka wenu huu Mtani.
[emoji23][emoji23]yani ndo kwaanza naiona mida hii..Ahsante sana rafiki. Ila umeniangusha jamaani yaani umeamua kuja kijioni jioni hivi aisee. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji120] [emoji120] [emoji120]