ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
looh uchekweMimi nakuja hata leo kabisa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
looh uchekweMimi nakuja hata leo kabisa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]looh uchekwe
Kuna mtu kanistua kasema ni saa 7 ile nyingine ndio saa 9....Ooh. Ngoja nicheck mie nilisikia ni saa tisa Mtani.
Heri ya kuzaliwa Pacha wangu uwe na maisha marefu pia Mwenyezi Mungu akupe kila la kheri katika kila jambo lako ufanyalo Pacha.
View attachment 796419
Saa 4 zipo nyingi tu na bado zinaendelea kuwepo so kuwa mvumilivu [emoji1] [emoji1]Ahsante sana best wa Hajar.
Ila ulivyonifanyia sivyo ujue.[emoji12] [emoji12]. Saa nne zimepita hata kumi nipo nasubiri tu mie. Hahahaaaa
Ahsante sana KIOO rafiki mchokozi wa Hajar sababu hii leo kwangu limekuwa bonge la Suprise aiseee.
Ubarikiwe mno mno rafiki najua kuna vingi mno ambavyo tunaendana na ndio sababu damu zetu zikaendana kiasi hiki. Be blessed rafiki.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Card Yang na inna iko wapNitashukuru ila mje na Mwifwa
Nakukaribisha tukitolewa kuna crate lako la soda....Duuh! Na mie nimeipata hiyo ni saa saba Mtani.
Kila la kheri.
Mapema leo twamaliza mchezo....Hahahaaa. Usinikimbie tu lakini.
Sababu najua lazima nilitwae hilo crate.
yaani wewe mtu wewehappy born day
yaani wewe mtu wewe
Daah wee acha niadimike usijalAhsante sana Kaka.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Uadimike kwa kiasi basi jamaani Kaka. [emoji85]