Happy Birthday Hajar

Happy Birthday Hajar

Amiin Insha Allah.

Ahsante mnoo kwa dua zako nawe pia Allah azidi kukujaalia kheri na baraka tele kila Uchwao Insha Allah.

Kweli usemalo Ibada ndio kila kitu na mie namshukuru Allah kwa hilo najitahidi kadri ya uwezo wangu.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Ahsante sana rafiki. Ila umeniangusha jamaani yaani umeamua kuja kijioni jioni hivi aisee. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji23][emoji23]yani ndo kwaanza naiona mida hii..
Ila hawajakumwagia maji au matope kweli[emoji3]
Maana birthday za bongo sikuhizi majanga matupu
Ukiingiia zako mtaani tu huna hili wala lile unashtukia ndoo la maji au tope[emoji3]
 
Back
Top Bottom