hahaha ngoja niftur kwanza sina nguvu hapa tuonane kuleeeWew umenifungia nje wewee ngoja tu.
sema mie nakukubal banah nakupenda dadake.
ebu ntafute kwanza kule.
[emoji1][emoji1]hahaha hii lugha hii dah
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
haa bana najua pa kumpata lkn hanisumbui huyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kasema ni weye eti.
[emoji23][emoji23]Namanisha sitokumbuka tena
hahahahahhahahahhaa
leo umeniona online hutaniona tena haha mpaka ruhusa nipate.
Karibu HajarNshakusamehe Sesten wala usijali. Pole sana siku zote pirika huwa hazikwepeki.
Duuh! Jamaani lol. [emoji85] [emoji85]
Haya bana Sesten. [emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji12]Ewaaaaaa.
Mida ndio hii inakaribia karibia. Usiniache kwenye mataa tu Swahiba. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
haaha nilikuwa napika wew sihutaki kirudi nishachoka kukungojakwan dada ukhty hayuko online?
hahahaha
Ahsante sana mdogo wangu kipenzi. Amiin Insha Allah. Ubarikiwe mnooo.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ila nimecheka mdogo wangu kwa hali hii tuliyonayo mdogo hivyo viwanda sijui kama tutaviona.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi ushapimwa tezi dume baby?
Halafu wewe unavyopotea hadi skupendihaaha nilikuwa napika wew sihutaki kirudi nishachoka kukungoja
Na iwe hivyo hao goodison park....
Naona singida anakazana huku....
fanya upesi sasaNaja na mieee. [emoji85] [emoji85]
Wameniabisha fainali itakuwa ngumu sana mkuu mwifa......Ebu malizia...
Hujambo lakini Ukhuty, usipotee namna hiyo bana au ndio itasingiziwa swaumu?haaha nilikuwa napika wew sihutaki kirudi nishachoka kukungoja
jamani tuna kikao chetu tusipopatikana huku tunakutana huko misamehe rafikiHalafu wewe unavyopotea hadi skupendi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa. Mwifwa Mwifwa Mwifwa niache ninyamaze.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwa hiyo kakata tiketi ya kurejea Singida au....Wameniabisha fainali itakuwa ngumu sana mkuu mwifa......
Usijali Ukhuty, msamaha umekubaliwa hongera(au pole?) na mfungojamani tuna kikao chetu tusipopatikana huku tunakutana huko misamehe rafiki
Mapema sana kesho wako singida mjini hao....Kwa hiyo kakata tiketi ya kurejea Singida au....