Naitafuta 25yrs kwa tochiDuuh.
Hizo tu kwani wewe umeshazeeka?
Hatimaye leo umejitokezaAhsante sana Mtani wangu Msukuma.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Namimi niitikie dua ya kumtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa japo kwa kuchelewa , AaminHappy birthday dada angu kipenzi msiri wangu mwandani wangu shoga angu damu yangu nashindwa hata kuandika maneno mengine Allah akupe umri tele utakaokunufaisha duniani na kesho Akhera mwifwa Daveti leo muwahi ftar dada kasogeza siku keki kulekule nazani mnapafahamu
Avatar ya kumtoa nyoka pangoni Beef Lasagna, wewe na yeye hapo ee?Happy Birthday Hajar
Hajar yaelekea kina Mwifa na Ukhuty wamepokea barua nyingi sana za posa yako, sasa sijui wameshafanya maamuzi ili tujiandae kula ubwabwa
Inshaallah utafika October hii na nyingine nyiiiiiingi sana, Mungu Akuweke Madame SHahaha au labda mie ndio sjaelewa swaum kali mana hua naelewa hivo me yangu bado had oct huko kama nitafika
umejitokeza JF maana kuna member hapa alikuwa anakutafuta balaaaHahaaaa. Mbona mie nipo Mtani au kujitokeza wapi tena? [emoji12] [emoji12]
atauweza ule moto kweli? fanya kumsaidia mzee babaHahahaaaa. Niliuona ule uzi.
Inabidi afanyie kazi ulivyomshauri Mtani. Hahaa
&Hahahhaha hapana banaAvatar ya kumtoa nyoka pangoni Beef Lasagna, wewe na yeye hapo ee?
Ni baraka hizo na upendo wala usishangae Hajar, inaonyesha jinsi gani ilivyo thamani yako, namna gani unavyokubalika na wengi, sifa ziwaendee wazazi na walezi wako....niungane na wengine kukutakia maisha marefu katika afya njema na furaha teleHahahaaa. Lol. Jamaani Sesten duuh [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hahaaaa. Hawezi kuushindwa bana Mtani.
Sababu kwangu ameshachelewa sasa.
Hahahaaa, haya bana&Hahahhaha hapana bana
Hebu nikuulize swali Ukhuty, kwa malezi mazuri mliyopewa na wazazi wenu hapo nyumbani wewe na Mwifwa si mnapokea barua za posa za Hajar kila siku hadi mnachoka? Sasa bado tu hajafanya maamuzi watu waje kula ubwabwa?kwa ushemeji umechelewa tyr labda uunge udugu Mjina mrefu tukupeleke T.A
Sikutaka kuachwa nyuma kwenye siku yako muhimu kama hii HajarAmiin amiin amiin. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ahsante sana Sesten naona na wewe umezijazia. [emoji12]
Mmmh! nangojea anitag kama akiupata mwendokasi ule.Hahaaaa. Alishapata mtu naye.
Aende tu kwa yule uliyemshauri. Hahaaaa.
Kuna swali langu moja umelikimbia nimemsukumia nduguyo Ukhuty nasubiri jibu lake sijui na yeye atakataa kunijibu!Nilishangaa na mie kulikoni sikukuona. Ila kwa kuwa umekuja japo ni kwa kuchelewa ila nashukuru kwa yote.
Ahsante sana. Ubarikiwe .
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji3] nami si nimeila,najua ilivyokua tamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol
Nimecheka kwa sauti Swahiba. Hahahaaaa. Ndio ilikuwa tamu. [emoji12] [emoji12]