Happy Birthday Hajar

Happy Birthday Hajar

Happy birthday dada angu kipenzi msiri wangu mwandani wangu shoga angu damu yangu nashindwa hata kuandika maneno mengine Allah akupe umri tele utakaokunufaisha duniani na kesho Akhera mwifwa Daveti leo muwahi ftar dada kasogeza siku keki kulekule nazani mnapafahamu
Namimi niitikie dua ya kumtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa japo kwa kuchelewa , Aamin
 
Hahahaaa. Lol. Jamaani Sesten duuh [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ni baraka hizo na upendo wala usishangae Hajar, inaonyesha jinsi gani ilivyo thamani yako, namna gani unavyokubalika na wengi, sifa ziwaendee wazazi na walezi wako....niungane na wengine kukutakia maisha marefu katika afya njema na furaha tele
 
kwa ushemeji umechelewa tyr labda uunge udugu Mjina mrefu tukupeleke T.A
Hebu nikuulize swali Ukhuty, kwa malezi mazuri mliyopewa na wazazi wenu hapo nyumbani wewe na Mwifwa si mnapokea barua za posa za Hajar kila siku hadi mnachoka? Sasa bado tu hajafanya maamuzi watu waje kula ubwabwa?
 
Mungu mwenye enzi akuongezee wingi wa siku zenye afya njema,, akuzidishie miaka na maisha marefu, uwaone wana na wana wa wana wa wana wako.

Happy birthday, Hajar!

Vv
 
Back
Top Bottom