basi jamanii mbona hivyooo nakusubir hamn tatizoNamwangalia tu nasema hiiiiiiii
jamni hata wew wanikimbiaaaaaaaaaa [emoji30][emoji30]Utakuta kufuli tu siko huko.
Hahaha na kufika huku hakuhtaji stand ya ubungo tena.
so wee kaa utulie tu.
Hahaha janja kwishaaaaaaaaaaaaabasi jamanii mbona hivyooo nakusubir hamn tatizo
Hata mimi napenda ufurahi banahahaha nafurah mnoo yaan
Biriani mbuzi mkuu, hahahaaaaUbwabwa tunakula kila siku labda useme plau bana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Matokeo ya kikao yanasubiriwa kwa hamu sanaHilo swali linahitaji kikao halafu msemaji wa familia ndio atatoa jibu baada ya maafikiano ya kikao
Naja kula tende nipate japo na kipaja chakukuNdio zilikuwepo Sesten. Na wewe karibu siku moja. [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baada ya futari kikao kitaketi usiwe na wasiwasi kwa hiloMatokeo ya kikao yanasubiriwa kwa hamu sana
Pilau la kitanga bado sijalila Hajar, maana nasikia lina ladha ya kipekeeeHahahaaaa. Nimecheka kwa sauti lol.
Itakuwa aiseee. Sesten Zakazaka eti Mdogo wangu anasema hujawahi kula Plau. Hahahahaaaaaaaa. Lol.
Ni kweli kwani? [emoji85]
Hiyo ndio habari yenyewe sasa.Biriani mbuzi mkuu, hahahaaaa
Umati wa watu unasubiri matokeo ya kikaoBaada ya futari kikao kitaketi usiwe na wasiwasi kwa hilo
Nini siri yake Hajar?Umeonaeee na ana watoto 05 pale sijui 06 ila akiwekwa na wale wasio na watoto bado anawapiga bao. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naam Ukhutyhalafu wewe [emoji23] [emoji23]
Yajayo yanafurahisha wasiwe na wasiwasiUmati wa watu unasubiri matokeo ya kikao
Dah! Nililikosa pilau la kitanga kumbe!hahaha mbona ubwabwa tulishakula muda mpk tumesahau cc Mwifwa
Hahahaaa, nimeshaliona jibu bana Ukhutynimejibu mbona jamani
Watu wapo mkao wa kulaYajayo yanafurahisha wasiwe na wasiwasi
Mi shahidi yake alikuita sanahalafu dada una tabia mbaya mbon hukuniita
Kujibu kweli amenijibu ila sasa sina hakika kama jibu lake ni A) kweli,B) si kweli,C) A na B yote sawaNkajua wakarangiza basi. Nisamehe bure jamaani.
Ngoja aje Sesten Zakazaka umjibu maswali yake. [emoji23] [emoji23] [emoji23]