Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Kwenye kumchagua Papa hua wasubiriwa moshi mweupe, ndio kitakachotokea kwa umati wa watu baada ya futarBaada ya futari kikao kitaketi usiwe na wasiwasi kwa hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye kumchagua Papa hua wasubiriwa moshi mweupe, ndio kitakachotokea kwa umati wa watu baada ya futarBaada ya futari kikao kitaketi usiwe na wasiwasi kwa hilo
Wakae vizuri tayari kwa kurusha mawe pangoni zimesalia dakika chache kama wapo bado hawajafika washtueni harakaWatu wapo mkao wa kula
sawa banaHahaha janja kwishaaaaaaaaaaaaa
Hajar njoo uone alivonyong'onyea
nipo hapaNaam Ukhuty
Ngoja niwashtue kwa tarumbeta wasogee eneo la tukioWakae vizuri tayari kwa kurusha mawe pangoni zimesalia dakika chache kama wapo bado hawajafika washtueni haraka
nilikuwa nakarangizaMi shahidi yake alikuita sana
Leo itakuwa ni nuru wala moshi tenaKwenye kumchagua Papa hua wasubiriwa moshi mweupe, ndio kitakachotokea kwa umati wa watu baada ya futar
Habari ya swaum bibienipo hapa
kher tu alihamdulillahHabari ya swaum bibie
Bilashaka hukuonja maana yaelekea kwa mapishi wewe na dadiyo Hajar Mashaallah, sasa uzalendo usije kukushindanilikuwa nakarangiza
Nuru! Mashaallah mambo ya heri basi hayoLeo itakuwa ni nuru wala moshi tena
La mgambo likilia kuna jambo, atakayeachwa shauri yakeNgoja niwashtue kwa tarumbeta wasogee eneo la tukio
Asante sana mamii,naja kuonja mapishi ya Kitanga maana wewe na nduguyo Ukhuty mmechachamaa kwa mapishiHahahaaa. Umepata jamaani Sesten.
Karibu sana sana sana.
Kula vizuri sawa inaeleweka ila kujitunza kupi huko Hajar? Hebu fafanuaHahahaaa. Kula vizuri na kujitunza Sesten. [emoji85] [emoji85]
Utakua umefanya jambo la maana sana HajarHahaaaa. Wacha kabisa lina ladha ya kipekee haswaaaa wala si uongo.
Yabidi siku moja tukuandalie tu upate kuliona ladha yake. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Natamani ni rewindHahahaaa. Ndiooo Ulilikosa.
Kwa hiyo ni ni kweli na si kweli pia, hahahaaaaHahahaaa. Hapo tufanye A na B yote sawa tu. [emoji23] [emoji23]
Shughuli iendelee tu asikuwapo na lake halipoLa mgambo likilia kuna jambo, atakayeachwa shauri yake
Hapo sawaShughuli iendelee tu asikuwapo na lake halipo