Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Jirani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakungojea mwakani tena Inshaallah
kwema jiraniJirani
Mmmmmmhhhhh
Inshaallah ndugu yangu tuzidi kushibanaAhsante sana mdogo wangu. Kwa uliyoandika yanatosha mnoo na nimeyapokea kwa mikono miwili. Najua unajua vile dada yako anavyokuhusudu na ndio sababu umekuwa zaidi ya ndugu sasa.
Tuzidi kubarikiwa kila Uchwao. Insha Allah.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Jirani hii tabia sijaipenda kila nikipita pale na matunda na mazagazaga sikukuti kabisakwema jirani
nisamehe jirani pale nimehama mbonaJirani hii tabia sijaipenda kila nikipita pale na matunda na mazagazaga sikukuti kabisa
Aaah jirani ndio we nilikutana na gari ya polisi imebeba vitu?nisamehe jirani pale nimehama mbona
njooo upesi dada hatimae kafanikisha wahiThanks a lot My dear.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wew acha tu jirani majangaAaah jirani ndio we nilikutana na gari ya polisi imebeba vitu?
Ahsanteeeee naomba unitembeze mtaa wa PM nitafurah zaid uwepo wako dunianjDaaaah. Yaani umejua kunisuuza Da'Vinci sababu huo wimbo huwa najikuta naupenda tu hata kwa siku za kawaida huwa sichoki kuusikiliza. Ahsante.
Hahahaa. Lol. Haraka hizo ndugu za kutaka kujua yaliyopo duniani. Karibu sana sana sana.
Popote nitakapokuwa napafahamu sitasita kukutembeza aiseee. Karibu
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kwani ulipata yule Mme polisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wew acha tu jirani majanga
hahah ngoj ashushe nahisi kitakuwa cha Erick shigongo kabisaHahahaaa. Kumbe umemuona eeeeee.
Itakuwa ananiandalia gazeti sio bure sababu anajua vile undugu wetu mi na yeye ulipotokea.
bado jirani sijampataKwani ulipata yule Mme polisi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sasa hajar leo cku yako nakuja kukumwagia[emoji97] [emoji97] [emoji97] [emoji98]Ahsante sana KIOO rafiki mchokozi wa Hajar sababu hii leo kwangu limekuwa bonge la Suprise aiseee.
Ubarikiwe mno mno rafiki najua kuna vingi mno ambavyo tunaendana na ndio sababu damu zetu zikaendana kiasi hiki. Be blessed rafiki.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Sasa ilikuje jirani ukasafirishwa na hilobado jirani sijampata
Mkuu tunatafutana ubaya?Happy birthday day love, sweet heart, baby, mahabuba, laazizi, kipenzi changu......
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji127][emoji127][emoji178][emoji178][emoji178][emoji179][emoji179][emoji179][emoji183][emoji183][emoji183][emoji183]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jirani acha tuSasa ilikuje jirani ukasafirishwa na hilo
[emoji113] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahaaa. Kumbe umemuona eeeeee.
Itakuwa ananiandalia gazeti sio bure sababu anajua vile undugu wetu mi na yeye ulipotokea.