Happy Birthday Hajar

Happy Birthday Hajar

Daaah. Ndugu yangu nimeishia kupata furaha ambayo nashindwa kuielezea kutokana na maneno yako mazito ambayo kwa baadhi yake yanazidi kunifunza vingi.

Ahsante sana Ndugu yangu wa kweli unajua ni jinsi gani tumebarikiwa sote. Nawe Uzidi kubarikiwa kila kukicha ndugu yangu.

Ndaga fijo. [emoji85] [emoji85] sijui nimekosea mieee. Hahahaaaaa.
Asante ndugu yangu wa nguvu

Ukyala akusaje (mungu akubariki)
 
Back
Top Bottom