Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hahah ngoj ashushe nahisi kitakuwa cha Erick shigongo kabisa
Kwaiyo nikuite shemeji. Right?Happy birthday dada angu kipenzi msiri wangu mwandani wangu shoga angu damu yangu nashindwa hata kuandika maneno mengine Allah akupe umri tele utakaokunufaisha duniani na kesho Akhera mwifwa Daveti leo muwahi ftar dada kasogeza siku keki kulekule nazani mnapafahamu
kwa ushemeji umechelewa tyr labda uunge udugu Mjina mrefu tukupeleke T.AKwaiyo nikuite shemeji. Right?
Asante ndugu yangu wa nguvuDaaah. Ndugu yangu nimeishia kupata furaha ambayo nashindwa kuielezea kutokana na maneno yako mazito ambayo kwa baadhi yake yanazidi kunifunza vingi.
Ahsante sana Ndugu yangu wa kweli unajua ni jinsi gani tumebarikiwa sote. Nawe Uzidi kubarikiwa kila kukicha ndugu yangu.
Ndaga fijo. [emoji85] [emoji85] sijui nimekosea mieee. Hahahaaaaa.
Kwani hujui mimi na Hajar tuna date?kwa ushemeji umechelewa tyr labda uunge udugu Mjina mrefu tukupeleke T.A
Sasa jirani nielekeze ulipo hamia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jirani acha tu
atatufaa kwa leo naomba awe ndo msemaji mkuu ktk huku kusheherekeaHahaaa. Kama niliota.
Kalishusha limejaa maneno mazito. Lol
hahaha hili ni jipya kabisa masikion mwangu ila ninaemfaham mim yuko safarin kikaziKwani hujui mimi na Hajar tuna date?
nitakuja hukoo huku watu wengi jiraniSasa jirani nielekeze ulipo hamia
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kalishusha tayari limejaa maneno mazito. Lol Abarikiwe kwa kweli ndugu yetu huyu.
CC. mndali ndanyelakamomu.
Sawa jirani mi mwenyewe na hamia kule tuliko enda kuangalia nyumbanitakuja hukoo huku watu wengi jirani
Ndo nimekujuza leo sasa.. Akiwa safarini kikazi mapenzi yanavunjika? [emoji23][emoji23][emoji23]hahaha hili ni jipya kabisa masikion mwangu ila ninaemfaham mim yuko safarin kikazi
amaa tutakuwa karibu ujueSawa jirani mi mwenyewe na hamia kule tuliko enda kuangalia nyumba
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hii nafasi inaweza kunifaa kwa leo maana ndugu yangu wa uhakika anaongeza namba ya miaka ya kuwepo dunianatatufaa kwa leo naomba awe ndo msemaji mkuu ktk huku kusheherekea
hapan kwa kweli ingekuwa ni kweli kam unavyoniaminisha taarifa ningekuwa nayo siku nyingi tu pole kwa kuchelewa lknNdo nimekujuza leo sasa.. Akiwa safarini kikazi mapenzi yanavunjika? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa ujue ninapo hamina kuna nyumba inahitaji mpangaji njoo uicheki jiraniamaa tutakuwa karibu ujue
Enjoy your dayThank you Gentlemen. Hahaaa. Lol
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
ila mkumbushe ndo uzee huo unamkaribia asifurahie keki tu dada akoHii nafasi inaweza kunifaa kwa leo maana ndugu yangu wa uhakika anaongeza namba ya miaka ya kuwepo dunian