Happy Birthday Hajar

Happy Birthday Hajar

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,235
Reaction score
5,854
Leo ni siku yako mamiiii.

Tunakutakia Heri, Baraka na Amani tele katika siku yako hii.

Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu wenye Baraka na Mafanikio tele ndani yake. In Shaa Allah.

Kwa niaba ya members wa JF tunakutakia kila la heri my dear.

Happy Birthday Hajar.

birthday-1713778__480.jpg

happy-birthday-2338813__480.jpg
 
Happy birthday dada angu kipenzi msiri wangu mwandani wangu shoga angu damu yangu nashindwa hata kuandika maneno mengine Allah akupe umri tele utakaokunufaisha duniani na kesho Akhera mwifwa Daveti leo muwahi ftar dada kasogeza siku keki kulekule nazani mnapafahamu
 
Happy birthday day love, sweet heart, baby, mahabuba, laazizi, kipenzi changu......

[emoji7][emoji7][emoji7][emoji127][emoji127][emoji178][emoji178][emoji178][emoji179][emoji179][emoji179][emoji183][emoji183][emoji183][emoji183]
Hajar ndoa yetu lini ?
anyway hbd
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wakuu vip?
 
Happy birthday dada angu kipenzi msiri wangu mwandani wangu shoga angu damu yangu nashindwa hata kuandika maneno mengine Allah akupe umri tele utakaokunufaisha duniani na kesho Akhera mwifwa Daveti leo muwahi ftar dada kasogeza siku keki kulekule nazani mnapafahamu
Nishafika kabisa wala sihitaji kuwahi, hapa nasubiri tu muda ufike nifanye mawandaziii....
 
Nakapicha kako nitakoposti, wenye vinyongo itawakostii. Leo ni siku yako piga makofii, rafiki yako Da'Vinci ninasemaaa
Hapibasideiiiii tuyuuuuu hapibasidei tuuyuuu Hajar.

Ustadhat/Ukhty Hajar kwann uliwahi kuzaliwa ungevuta kama siku 3 mbele tuzaliwe pamoja, haya tangulia duniani soon nakuja unitembeze mitaa ya duniani
 
Back
Top Bottom