Happy Birthday Hajar

Happy Birthday Hajar

Duuh! Kula vizuri tu na kujitunza basi Uzee tunausikia kwa majirani. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umejua kunichekesha Dada yangu.

ukhuty umeiona hiii...
 
Hahahaaa. Ndio ukweli mdogo wangu.

Sio mtu hali vizuri na mwili hajui kuutunza halafu analalamika anazeeka. Utaachaje kuzeeka sasa hapo Mdogo wangu.

ukhuty njoo nimeongezea nyama. Hahahaaaa.
Ni kweli kabisa maana bibi Zari bado yupo matawi ya juu japo ni muhenga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umeonaeee na ana watoto 05 pale sijui 06 ila akiwekwa na wale wasio na watoto bado anawapiga bao. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tena akipambanishwa kwenye umiss na wale ambao bado hawajawahi kuzaa, atawafunika kwa ushindi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom