Happy birthday hazard cfc

Happy birthday hazard cfc

Mtoto wa kike umetiririka we hazard ole wako umuache binti wa watu utajuta

Happy birthday mbebez wa Jolie Jolie Yesu azidi kukulinda na kukutunza hiki ndio cha muhimu kuliko chochote naombeni location ya kuja kukata cake
 
Kwanza kabla ya yote namshukuru Mungu,mama mkwe,na baba mkwe kwa kufanikisha wewe kuja duniani,naamini ulikuja kwa ajili.Wewe ndo umekuwa siri yangu,wewe ndo kila kitu kwangu..najua nimewahi kukukosea lakini ninachojua hata wakati nakukosea bado ulikua mwanaume ninaekupenda,hakuna aliewahi kuzidi thamani yako,na nakuambia HATOTOKEA.
Vingine ni ubinadam tu lakin haina maana kuwa kuna mbora zaidi yako,huenda katika ubinadamu huo huo mwingine angeshindwa na kunikatia tamaa,endelea kuniombea na kunielekeza pale ninapokosea.
Heri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa kipenzi changu
Nakupenda sana mume wangu
bembeleza ndoa haya mengine potezea kwa sasa.....full stop
 
Back
Top Bottom