Hahahahahahahah hapana dada ni rafiki tu jamani
Happy birthday to him,,,
Ndo shemeji yetu? Maana inaanzaga hivi hivi
Yes... hujamboHahahahahaah ha jamani
Binti mbichi mwenye guu lake!Kumbe zesh ni binti. Nilikuwa nasoma jina haraka haraka nkijua ni mwanaume
Mimi siwezi kumnunulia mtu sumu[emoji23][emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mnunulieni bia rafiki yangu... Yupo vizuri kwenye hiyo sekta
Basi nimeachaOhooooooo uchochezi huu
Yote heri msalimie rafiki