Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Heri ya siku yako ya kuzaliwa rafiki.....
Mungu akupe hitaji la moyo wako na akupe maisha marefu zaidi.... Sijutii kukufahamu umekua rafiki, na mshauri mwema kwangu...... Nakuombea siku zote uwe mwenye kupata baraka za Mungu zaidi na zaidi
Enjoy your day chapombe hahahahahahahah[emoji3][emoji3][emoji3]
Happy birthday [emoji512][emoji486][emoji482]