Happy birthday Hazard fc

Happy birthday Hazard fc

Okay, I can only advise to believe in yourself.

Usiogope competitors, tafuta mbinu ya kudeal nao in your own way bila kuwaonesha kwamba unashindana nao.
Siko hivyo, no need of competition in jf. sina huo mda, tunakutana jf. tunaachana jf. sio ladies hata gentles sijawaza hata mmoja kukutana nae mtaani kwa mishe yoyote.
 
Siko hivyo, no need of competition in jf. sina huo mda, tunakutana jf. tunaachana jf. sio ladies hata gentles sijawaza hata mmoja kukutana nae mtaani kwa mishe yoyote.

Hahaha, mimi ni mzuri kwenye kusoma mistari na kuitafsiri.

Niishie kukwambia tu kwamba hii post ni tofauti na ukweli.

Nothing personal.
 
Back
Top Bottom