Happy birthday Hazard fc

Happy birthday Hazard fc

Duh, mwaka kesho inabidi nifanye mchakato ili nipate wa kuniandikia Happy Birthday humu ndani.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Karibu mkuu sema bday yako lini nikuandikie....

Huwaga sina hiyana mie jamani
 
Asante mwanachama mwenzangu wa yanga na ccm kindakindaki[emoji1787][emoji1787]

nilikua nishaisahau kabisa hii siku, asante kwa kunikumbusha nakuikumbuka pia,mimi nipo bize nasaula wachezaji huku rwanda na burundi [emoji1787]
Hahaha hahahahahaha umeanza uchokozi nani sasa kakutuma uitaje ccm hapa
 
Back
Top Bottom