Happy Birthday Heaven Sent

Hahahaaaa!! Sio kwa kuruka viunzi huko!!
 
Ngoda alivyo mbishi sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu shemeji kale kapicha umekapeleka wapi? Huyo wa mashineni simpendi kama nini
Hahahaaa we msingizie tu kaka yangu!!

RRONDO aliniambia kati ya picha zangu zooote hii ndio inanifaa ila nisimuulize kwanini[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Najua Unajua kuwa Ni Kwa kiasi gani nimekumiss!!

Xmas haiwezi kuwa njema bila kupokea salamu zangu.
 
Dadaangu wee acha tu.Kuwekwa kati hata nyuma ya key board hali inakuwa mbaya hadi unatamani uipasue simu.
Kuna mwandiko ukiuona hadi pua inatetemeka[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
demi hawezi kukuweka mtu kati bwana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
demi hawezi kukuweka mtu kati bwana.
Hakika demi sijawahi kumuona hata sehemu humu kafanya ukorofi.Timu yenu ni ya watu mnao jitambua sana.Naamini mtakuwa mpo zaidi ya hapa,Mungu aendelee kuwajenga kiimani na upendo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…