Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hahahaaaa!! Sio kwa kuruka viunzi huko!!Aliye kuwa amekumisimo sana ni espy,mimi nakumbuka mara ya mwisho tulikutana kulee tukiwa na BAK. Ngoda95 ametuhakikishia leo kuwa upo na umefungua darasa la ukungwi.Yaani eti wewe,amesema Ngoda95 kuwa wewe ni kungwi eti,mimi hata nilikuwa sijui... Nikashangaa tu...