Huo muamala utanoga sana tarehe hizi[emoji12]Hahahaaaaa wee mzee ni shida sana. Evelyn alikugusia suala la muamala umemruka jumla.
Huku kwa demi unajipeleka mwenyewe kuandaa muamala...
hiki kizungu sijui tu copy akija mwingine tumrushie, ok nitakuwa nakijibia kwenye facebookI still remember the first day u replied my Pm was the day I realized how important your in my Life.
You became the true definition of the Friendship.
Moving closer to you made me realize that there’s much to what your outside appearance speaks, you’re adorable in and out.
You understand me in ways that no one else ever will. That’s why you’re my best friend
I will make this birthday memorable and unforgettable for you, I hope you will have a great day. Filled with a lot of joy, happiness, Excitement, love and laughter.
I pray to God you never lose this beautiful smile from your face.
Happiest Birthday My Chivu.
C.c Heaven Sent
Haha haha haha nilionaga darasa lako moja hivi murua Sana.. [emoji23] [emoji23] tangu pale nikajiridhisha kwamba hakika umekuwa kungwi now days.Mi mzima. Haya lini nimekuwa kungwi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Una takwimu kutoka NBS? Usiwe mvivu wa kunywa maji ili usisumbuke ikitokea dharula
Una mambo wewe. Mi hata sikumbukiHaha haha haha nilionaga darasa lako moja hivi murua Sana.. [emoji23] [emoji23] tangu pale nikajiridhisha kwamba hakika umekuwa kungwi now days.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaaa wee mzee ni shida sana. Evelyn alikugusia suala la muamala umemruka jumla.
Huku kwa demi unajipeleka mwenyewe kuandaa muamala...
Huyu ni wa kukaja,anajua wapi pa kunikuta kwa ajli ya mahitaji yasiyo ya lazima ya sikukuuMfungashie hata na ka kuku basi sikukuu hii ujue?
Karibu ma mdogo mtarajiwa [emoji1] [emoji1]Amen mammy, Shukrani
Kweli nimeuamini usemi usemao "mbabe wa Evelyn salt ndiye mnyonge wa demi" Kamilisha huo muamala,hii tarehe ni rafiki kupata sms yenye kusisimua viungo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi kwa demi nikama mbwa aliyeona chatu yaani najipeleka kujikamatisha ili niliwe.
Hahahha ahsante sana.Karibu ma mdogo mtarajiwa [emoji1] [emoji1]
Uncle nimepita sasa hivi hapoNi anko wangu huyo ujue...Tangu jana nilimuambia afuate mihogo ya chips hapa gengeni kwangu.Atakua ameichukua maana mafungu manne yamepungua
Amen. Shukrani sana mpendwaHongera sana MWENYEZI MUNGU akupe maisha marefu uendelee kuimarika katika hekima, busara, upendo na uvumilivu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umechukua? Kama bado naja sasa hivi maeneo ya shuleni MwakibeteUncle nimepita sasa hivi hapo
ShkamoHahahaaa!! Kwakweli wale panya wangu wamekula kapu la mama looote!![emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Nimechukuaaaa. Ahsante sana uncle[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umechukua? Kama bado naja sasa hivi maeneo ya shuleni Mwakibete
Abeee
Shangazi yako espy anakutafuta.Abeee