Happy Birthday Heaven Sent

Kuna Katoto Kako Likizo kamensaidia bana we acha tu nmejikunja kwel kukipata hiki Kikristu.
All in all your always Welcome my Chivu, as we have been always there for each other Dear.
Miamala unajua inapopatikana ila yale mambo ya Halotel siyatak.
 
I appreciate brah. Ndaga fijo[emoji87] [emoji87]
 
Mimi nakumbuka nilitaka kujibebisha kwa mwanadada huyu wa kipekee wakati najiunga humu

Kuna uzi fulani hivi wa Kassim Mganga sikumbuki ulikuwa unaongelea nini ila tulikuwa tunaandika lyrics ya nyimbo zake

Kesho yake au siku tatu mbele kama sijakosea akaondokewa na Mzee wake (R.I.P) harakati zote zikaishia hapo
Sasa hivi kina Bonny wanabebika tu

Happy Birthday Heaven Sent Mungu aendelee kukutunza

Ni mimi crush wako Yamakagashi
 
Hahhaa hata wewe unaruhusiwa kubebika jamani. Thanks so so much crush wa mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…