Happy Birthday Heaven Sent

Utaelewa tu haha

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚naona unataka Demiss anichambe siku nzima ndo furaha yako.. jamani tuoneane huruma...kha!au mshana yupi๐Ÿ˜Š..u aniblok makusudi ili next yr nikija na bandiko la kusearch mchumba uniblock namna hyo๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š!kuna harufu hapa naihisi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sku nitakukaba utasema yte
 
Sisemi ng'oooooooooo
 
Nipo Airport hapa napata supu tamu na handsome wangu karibu

๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Ši hope ni mshana huyo๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Šmbona airport pamedoda hvyo dogo??ingawa sijui sana machocho ya kula bata ila hapo pabayaaaaaaa..mambu meng bwana...bora uende blak n white kule juu..my fav place...au uende kwa don near samak samak๐Ÿ˜Š
 
Udange afu pampula akuache; upauke, uso ukose nuru na mashavu yachume kunde weeeeeh

๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚... july kulikua na sherehe hiI za waroma..sijui komunio..bas my friend akanialika mtoto wa kakake anakomunika..nikamwambia twende๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜..akagoma goma.nikasema twende kuna bia๐Ÿ˜‚ndo kukubali ..uwiiii anafika pale anasema ukute nimeletwa kwenye sherehe ya mtoto wa mchepuko๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚maana baba mtu alikuja nipokea akanitaja na jina heheheh alisimamisha masikio had shereh inaishaaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚maskini kaka mtu (baba wa mtot akawa anatupa care fulan mara nyagi mara nyama ila mume anakula huku anatikisa kichwa..akichek mshikaj anatazamika๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..mwe nitapauka kwakwel ngoja niendelee kujinyenyekeza kwa kicho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ