Happy Birthday Heaven Sent

Happy Birthday Heaven Sent

Utaelewa tu haha

😂😂naona unataka Demiss anichambe siku nzima ndo furaha yako.. jamani tuoneane huruma...kha!au mshana yupi😊..u aniblok makusudi ili next yr nikija na bandiko la kusearch mchumba uniblock namna hyo😊😊😊!kuna harufu hapa naihisi😂😂 sku nitakukaba utasema yte
 
Sisemi ng'oooooooooo
[emoji23][emoji23]naona unataka Demiss anichambe siku nzima ndo furaha yako.. jamani tuoneane huruma...kha!au mshana yupi[emoji4]..u aniblok makusudi ili next yr nikija na bandiko la kusearch mchumba uniblock namna hyo[emoji4][emoji4][emoji4]!kuna harufu hapa naihisi[emoji23][emoji23] sku nitakukaba utasema yte
 
Nipo Airport hapa napata supu tamu na handsome wangu karibu

😊😊😊i hope ni mshana huyo😊😊mbona airport pamedoda hvyo dogo??ingawa sijui sana machocho ya kula bata ila hapo pabayaaaaaaa..mambu meng bwana...bora uende blak n white kule juu..my fav place...au uende kwa don near samak samak😊
 
Udange afu pampula akuache; upauke, uso ukose nuru na mashavu yachume kunde weeeeeh

😁😂😂😂😂😂😂... july kulikua na sherehe hiI za waroma..sijui komunio..bas my friend akanialika mtoto wa kakake anakomunika..nikamwambia twende😁😁😁..akagoma goma.nikasema twende kuna bia😂ndo kukubali ..uwiiii anafika pale anasema ukute nimeletwa kwenye sherehe ya mtoto wa mchepuko😂😂😂maana baba mtu alikuja nipokea akanitaja na jina heheheh alisimamisha masikio had shereh inaishaaa😂😂maskini kaka mtu (baba wa mtot akawa anatupa care fulan mara nyagi mara nyama ila mume anakula huku anatikisa kichwa..akichek mshikaj anatazamika😂😂😂😂..mwe nitapauka kwakwel ngoja niendelee kujinyenyekeza kwa kicho!
 
Back
Top Bottom