Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Amen. NashukuruHappy bday bidada Allah akuweke sana.
Bae. ......
Did you expect me to go somewhere else? Nobody, but you.....Bae...
after all this days i can't believe your still here by my side
Amen. Ahsante sana mkuuHappy Birthday Mkuu.
Mungu akujalie mengi, yote ya haja ya Moyo wako.
Amen, nimepokea uncle. UbarikiweHeri ya siku yako ya kuzaliwa anko,Mungu akuongezee miaka mingi ya kuishi na ukawe na afya njema,hekima na busara ikawe ndio utajiri wako kwa kipindi chote cha uhai wako.
Amen[emoji120]Amen, nimepokea uncle. Ubarikiwe
Did you expect me to go somewhere else? Nobody, but you.....
That's for you to find out.That's means a lot Bae...
Please tell me what you want me to do for you and i will exactly do what you said right away...
That's for you to find out.
Thank you dearHappy Birthday HS
Ahsante sana mpendwa wangu.Happy birthday mpendwa wangu, rafiki yangu, mshauri wangu.
Miaka yako ie mingi km ya yuke wa kwenye bible aliyeishi miaka___mingi kuliko wote nadhani unamjua mie nimesahau.Ahsante sana mpendwa wangu.
Ameeeeeeeeen. Nimepokea mpenziMiaka yako ie mingi km ya yuke wa kwenye bible aliyeishi miaka___mingi kuliko wote nadhani unamjua mie nimesahau.
Nakusabahi mama.happy birthday mdada Heaven Sent
Nilikutumia m-pesa tangu jana, usiniambie unataka niongeze nyingine.