Happy Birthday Heaven Sent

Happy Birthday Heaven Sent

Heri ya siku yako ya kuzaliwa anko,Mungu akuongezee miaka mingi ya kuishi na ukawe na afya njema,hekima na busara ikawe ndio utajiri wako kwa kipindi chote cha uhai wako.
 
Haha chivu Bonny can't stop laughing, who wrote this for you maana nishazoea ukauzu wako.

Thanks for everything pal, especially for always keeping it real with me. I'll always remember this. ....

Hala hala, messages za M - Pesa ziongezeke tu [emoji125] [emoji125] [emoji125]

C.c espy
Nilikutumia m-pesa tangu jana, usiniambie unataka niongeze nyingine.
 
Back
Top Bottom